VIDEO | KONCHEEZY- MIAKA SABA

Msanii chipukizi toka label ya Pacho Entertainment leo hii amezindua filamu ya wimbo yake mpya "Miaka Saba" .
Koncheezy ambaye ni msomi katika chuo kikuu cha Maseno amezindua video hii jioni ya leo huku video ikiwa imeandaliwa na Crystal Prime.
Fanya kuitizama video hiyo hapa chini huku ukisambaza kwa marafiki
VIDEO | KONCHEEZY- MIAKA SABA VIDEO | KONCHEEZY- MIAKA SABA Reviewed by Admin on 9:45:00 AM Rating: 5