Msanii kutoka Nigeria;Yemi Alade baada ya kufanya vizuri katika hit single ya "Nagode" ameachia tena video mpya ya wimbo unaitwa "Ferarri".