Ni wiki ingine maridadi sana na tuna furaha kuwa msanii wetu wa wiki;Maua Sama amefanya kuzindua filamu ya wimbo wake "Mahaba Niue" Kama kawaida hii ndio website yako ya kupendeza inayokupa habari za mziki na wanamuziki pindi zinapochipuka. Cheki video hiyo hapa chini.