New Music | Raymond - KWETU (Cover song) Madini Classic

Msanii wa mtindo wa flava za bongo;Madini Classic amefanya kuifunika wimbo wake Raymond toka Wasafi Classic na limekuwa gumzo jijini mchana wa leo jinsi ambavyo msanii amefunika michapo ya produza.
Nakupa fursa ya kuisikiliza wimbo huo hapa chini huku ukitupa maoni yako.

New Music | Raymond - KWETU (Cover song) Madini Classic New Music | Raymond - KWETU (Cover song)  Madini Classic Reviewed by Admin on 3:29:00 AM Rating: 5