Msanii maarufu wa mtindo wa dancehall toka Kisumu kwa jina Brayo Fayta leo asubuhi amejitokeza kwa wazi na kusema kuwa mwaka ujao;2017 angependelea kuwania kiti cha MCA maeneo ya Kajulu.
Katika mazungumzo yetu amesema bayani kuwa toka aanze kufanya mziki miaka za hapo awali amekuwa akiona wasanii kama wana siasa ambao wanang'ang'ania kiti flani ambacho anasema kwa mda mrefu limekuwa jambo la kuzungumziawa kati ya wasanii wadogo na wakubwa.
Brayo Fayta anaomba wakazi wa eneo ya Kajulu ambayo ipo maeneo bunge ya Kisumu town East kumpatia nafasi ya kuwa kiongozi yao.
Swali ni je,ataweza kudumu?
Usanii Na Siasa Kitu Kimoja; Brayo Fayta
Reviewed by Admin
on
1:22:00 AM
Rating:
