Video | Back On The Road - Blitz The Ambassador

 Blitz The Ambassador; msanii toka Ghana amezindua filamu ya wimbo wake mpya "Back On The Road" iliyoandaliwa na One Vibe Studico na kufanyiwa uendeshaji na Zari Rose toka Kisumu,Kenya.
Picha hizi ni kati ya zile ambazo zinatokana na kanda hiyo.
Pata kutazama video hiyo hapa chini.
Video | Back On The Road - Blitz The Ambassador Video | Back On The Road - Blitz The Ambassador Reviewed by Admin on 5:44:00 AM Rating: 5