Msanii chipukizi toka Kisumu,Kenya amefanya remix ya hit single yake "Bank Otuch" akimshirikisha heavyweight wa Hip Hop;Octopizzo.
Nyimbo imetayarishwa na GKV wa Chuo Records pamoja na MG wa MG Studios.
Fanya kutazama video hio hapa chini kisha uisambaze kwa marafiki.
Video | Bank Otuch-Vicmass Luodolaar feat. Octopizzo
Reviewed by Admin
on
8:08:00 AM
Rating: 5