Msanii wa bongo fleva Raymond ambaye mwanzo alikuwa katika kundi la
Tip top Connection na baadaye kujiunga na lebo ya WCB ‘Wasafi Classic
Baby’ ambayo iko chini ya usimamizi wa Diamond Platnumz ambaye anafanya
vizuri sana katika tasnia ya muziki wa Tanzania. Raymond ambaye
amejaribu kufwata nyayo za kiongozi wao wa WCB na kutoa video kali.
Unaweza kuitazama vide hii hapa:
Unaweza kuitazama vide hii hapa:
Video | Raymond – ‘Kwetu’
Reviewed by Admin
on
4:38:00 AM
Rating:
