VIDEO | HUSLE HARD BY DESSY MASSY FT ARSENE B


Msanii chipukizi toka mjini Kisumu;"Dessy Massy" yupo  ni video kali aliyomshirikisha msanii Asen B toka Starbell Media.
Audio na video ya wimbo huo umeandaliwa na produza mkubwa toka Kisumu;Jamal Malique ambaye amekuwa akitesa kwa muda sasa huku akitoa kibao kila uchao.
Fanya kuitazama video hiyo hapa chini kisha kama kawaida huku kwetu ni kusambaza hadi kilele.

VIDEO | HUSLE HARD BY DESSY MASSY FT ARSENE B VIDEO | HUSLE HARD BY DESSY MASSY FT ARSENE B Reviewed by Admin on 6:22:00 AM Rating: 5