Msanii mkubwa wa gospel toka mjini Nakuru leo hii amewachilia video mpya chini ya uendeshaji wake Crizo Mzeya. Video hii ya wimbo wake aliyomshirikisha msanii Timam inaitwa "Nimeamini"
Nakupa fursa kuitazama hapa kwa mara ya kwanza.
VIDEO | NIMEAMINI -ZAE DE KIM & TIMAM
Reviewed by Admin
on
4:13:00 AM
Rating: 5